Official Opening Hours : Monday to Friday - 8 AM to 5 PM
Kiswahili ni mojawapo wa lugha za Kiafrika inayokua kwa kasi mno. Katika Afrika ya Mashariki, Kiswahili kinazungumzwa katika nchi za Kenya, Tanzania, Uganda, Rwanda na Burundi. Aidha, Kiswahili kinazungumzwa katika nchi za Congo na Zaire.
Ndiposa sisi kama Idara ya Kiswahili tunajizatiti kuhakikisha kwamba vijana hawa wanaielewa lugha hii ya kupendeza. Licha ya changamoto zinazotukumba, twajikaza kuichambua lugha hii na kuwapa wanafunzi ufahamu zaidi.
No performance records are available yet for this section.
No teacher profiles have been added for this department yet.